Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Achora Sua ya Mpenzi Wake Usoni

Mwanamke mmoja ameenda viral mitandaoni baada ya kushea picha yake hii ikionyesha amechora 'Tattoo' yenye sura ya mpenzi wake katika shavu lake usoni.

Watu wengi wemeshiriki kutoa comments zao juu ya uamuzi wake huo wengine wakisifu juu ya uaminifu alionao, upendo ujasiri na hisia alizonazo kwa mpenzi wake huyo.

Wengine walikosoa kwa kusema huenda atakuja kujutia baadae ikitokea changamoto za masuala ya afya ya ngozi yake au ikitokea wameachana.

 

 

Chanzo; Eatv

Kuhusiana na mada hii: