Ni wazi wengi tumekutana na hizi story kumuhusu Calisah, story zinazodai moja kati ya mambo yanayomuweka town ni muonekano wake kupitia Wanawake wanaovutiwa na yeye! Amefunguka kwenye #JahaziHD ya Clouds Fm kuhusiana na hilo.
“Ni biashara ambayo haiko wazi lakini ni biashara maalumu hizi connection ziko chini kwa chini, wanaume wanataka wenyewe, wananifata niwape connection. Mimi nimekuwa nikipangua asilimia kubwa ni wake za watu.” Amesema Calisah
Chanzo: Cloudsfm