Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Maisha ya Akoni na Lonely

Muimbaji wa Senegal + Marekani, Producer na mfanyabiashara Akon, anasema Hit yake ya ‘Lonely’ ilibadilisha kila kitu kwenye maisha yake ya muziki.

Akon ameshea video ya wimbo wake huo na kuandika

“Ni vigumu kuamini kuwa imepita miaka 22 tangu Lonely itoke. Rekodi hii ilibadilisha kila kitu kwangu, lakini ni mashabiki ambao waliifanya kuwa Legend”.

 

Chanzo; Eatv

Kuhusiana na mada hii: