Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mama wa Chidi Benz Afariki Dunia

Rapper Chidi Benz ameithibitishia AyoTV na @millardayo kwamba ni kweli Mama yake Mzazi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Dar es salaam.

Benz amesema baada ya kuugua kwa muda mrefu, Mama yake amefariki usiku wa kuamkia leo ambapo msiba upo Nyumbani kwake Chanika.

"Mama amefariki usiku, mimi mwenyewe nilikuwa studio jana usiku kwa S2kzy, hapa tupo njiani nataka nifike Nyumbani nimuulize Kaka yangu zaidi, yeye ndio kaka yangu Mkubwa, nitawaambia baadae kuhusu taratibu za mazishi” Chidi

 

Chanzo; Millard Ayo

Kuhusiana na mada hii: