Moja kati ya story ambayo imewashtua baadhi ya watu ni Alikiba kupost picha akiwa na Diamond kwenye ukurasa wake wa Snapchat na kuleta maswali mengi vichwani kuwa huenda tayari wamemaliza tofauti zao tayari na tutegemee collabo kati yao.
Chanzo; Clouds Media