Kulingana na Chart Data Afrika hizi hapa orodha ya nyimbo zinazotikisa Uingereza maarufu UK. Orodha hiyo imetawaliwa na aina kadhaa za miziki ikiwemo Afribeats, Amapiano pamoja na midundo mingine ya kisasa. Ayra Starr, Dj Maphorisa ni baadhi ya wasanii kwenye orodha hiyo, Kama inavyosomeka…
1. Tyllaaaaaaa - Chanel
2. Ayra Starr - Who’s Dat
3. Moliymusic - Body Go
4. Dystinct - Yama
5. Ckay - Body (da z)
6. Plutomania Popi - Him
7. Dj Maphorisa - Money Constant
8. Heis Rema - Fun
9. Beatsbysarz - Getting Paid
10. Mav Oswago - Escaladizzy
Chanzo; Tanzania Journal