Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Keyshia Mwanamke Aliyeacha Anasa Amtajirishe Mumewe

Kabla ya kuanza kifungo chake mwaka 2014, rapper Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake (sasa mkewe) Keyshia Ka'oir kiasi cha dola milioni 2 ($2M) kwa ajili ya matumizi.

Badala ya kuzitumia kwenye anasa, Keyshia aliwekeza fedha hizo kwenye biashara zake binafsi na kufanikisha kuikuza hadi kufikia dola milioni 6 ($6M), sawa na takribani shilingi bilioni 16 za Kitanzania, wakati Gucci alipotoka gerezani mwaka 2016.

 

 

Chanzo; Global ublishers

Kuhusiana na mada hii: