Kwa mara ya sita mfululizo Yanga imeendelea kutamba mbele ya mtani wake Simba baada ya kumtandika goli 1 - 0 kwenye mchezo wa kufuzu Ngao ya Jamii ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam, Septemba 16,2025.
Mchezo uliokuwa umebeba bashasha za kutosha kwa mashabiki wa pande zote mbili kwa kutaka kuona sajili zilizofanywa na timu zote mbili ipi ni tishio.
Tanzania Journal