- Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, amesema kuwa ujio wa AFCON 2027 utasaidia kuinua uchumi wa nchi yetu kiujumla.
Mhe. Makonda ameyasema hayo wakati akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, kutembelea na kukagua Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mwendelezo wa maandalizi ya AFCON 2027.
Chanzo; Eatv