Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Ngoma Ngumu Benefica Ishu ya Vinicius UEFA

 Klabu ya Benfica imepanga kukata rufaa UEFA baada ya kumfungia mchezaji wao Gianluca Prestianni kufuatia tuhuma za ubaguzi wa Rangi dhidi ya mchezaji wa Real Madrid Vinicius JR.

"Klabu inajuta kunyang'anywa mchezaji huyo wakati mchakato bado unaendelea na itakata rufaa kwa uamuzi huu wa UEFA" - Uongozi wa Benfica

Hii leo UEFA imemsimamisha Kiungo wa Benfica Gianluca Prestianni kwa mchezo mmoja dhidi ya Real Madrid kupisha uchunguzi wa kesi ya ubaguzi wa rangi dhidi ya Vinicius Jr katika mchezo wa awamu ya kwanza wa "Playoff" ya UEFA CL

 

 

Chanzo; Eatv

Kuhusiana na mada hii: