Muonekano wa jezi za Yanga ambazo zitatumika kuanzia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Jezi hizo zimetambulishwa rasmi leo Novemba 19, 2025 ambazo ni za rangi ya kijani na za rangi ya njano.
Jezi za rangi ya kijani zitatumika kwa mechi za nyumbani na zile za rangi ya njano zitatumika kwa mechi za ugenini.
Rangi nyeusi ni jezi ya tatu.

Chanzo; Mwananchi