Kikosi cha Simba, kimeondoka kuelekea Egypt 🇪🇬 kwa ajili ya mchezo dhidi ya Al Masry mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la shirikisho Afrika (CAFCC).
Wachezaji Tshabalala, Hamza, Kapombe, Kagoma, Kibu na Ally Salim wameshawasili Egypt 🇪🇬 jana usiku wakitokea Morocco 🇲🇦.