GTA 6 inatarajiwa kutolewa Novemba 19, 2026 kwenye PlayStation 5 na Xbox Series.
Huu ni mchezo wa kwanza ulioandaliwa kwa gharama kubwa zaidi kwa GTA tangu mwaka 2013, huku GTA V ikiwa imeuza takriban nakala milioni 220 duniani.
GTA 6 utakuwa mchezo ghali zaidi kuwahi kutengenezwa, ukiwa na bajeti ya takriban dola bilioni 2 sawa na Trilioni 5.2 za Kitanzania
Chanzo; Bongo 5