eneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwashirikisha katika ufundi baada ya kuondokewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.
Ally amesema kuwa mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu mpya unaendelea hiyo mashabiki na wafenzi wa klabu hiyo hawapaswi kuwana presha.
Amesema kuwa wakati wa kiwa wanasaka kocha mpya, timu inaendelea na program zake kama kawaida na kuhusu Kocha Mkuu mpya, wakae mkao wa kula.
"Kwa sasa topo kwenye mapumziko kupisha Kalenda ya FIFA, Lakini vijana wetu watarejea mazoezini hivi punde kuanza maandalizi ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
"Swali kuu ni Kocha Mkuu!! Niwaoombe Wana Simba tuwape nafasi viongozi wetu wakamilishe mchakato huu kwani mambo mazuri hayataki haraka.
"Tuutimie Wakati huu wa mapumziko, kuendelea kununua Jezi Original za timu yetu," amesema Ahmed Ally.

Kuondoka kwa Fadlul kulifunga mlango kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco' kuinoa kwa muda katika mechi ya marudio iliyochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ambayo ilimalizika kwa sare ya bao 1-1.
Hata hivyo katika Ligi Kuu, Simbe imekuwa ikisimamia na Selemani Matola ambaye amekuwa akihudumu kama Kocha Msaidizi wa timu hiyo.
Kwa mujibu wa tetesi, Kocha anayewepwa nafasi kubwa ya kurithi mkoba ya Fadlul Davids ni Dimitar Pantev ambaye anaiona Gaborone United.
Chanzo: Mwananchi