Mlinzi Che Malone Fondoh na mlinda mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi ambacho Kinasafiri alfajiri ya Ijumaa kuelekea Egypt 🇪🇬.
Golikipa Moussa Camara atasafiri na kikosi kuelekea Egypt kuivaa Al Masry kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la shirikisho Afrika.