Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) lina mamlaka ya kuiondolea Marekani haki ya kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2026 endapo masharti ya mkataba yatakiukwa, ingawa si uamuzi rahisi kufanyika.
Huku maandalizi yakiendelea katika miji 18 ya waandaaji (Marekani, Canada na Mexico). Kumekuwepo na shinikizo kubwa la kisiasa na kijamii dhidi ya Marekani, hasa kutokana na hali ya sasa ya kisiasa chini ya Rais Donald Trump.
Chanzo; Mwanaspoti