Mshambuliaji wa PSG na timu ya Taifa ya Ufaransa Ousmane Dembélé amekuwa mchezaji wa kwanza Mweusi kushinda Ballon d’Or tangu mwaka 2005
Dembélé ametwaa Ballon d’Or 2025, ikiwa ni mara yake ya kwanza kushinda tuzo hii kubwa duniani na ni mara yake ya kwanza kuingia kwenye Top 30 kama nominee.
Ripoti hii imeandaliwa na Mwandishi wa habari za michezo wa kimataifa kutoka Tanzania John Jackson JJ, ambaye ameshuhudia tukio hili mubashara nchini Ufaransa
Chanzo: Clouds Media