Nahodha wa Inter Miami na timu ya Taifa ya Argentina Leo Messi ameweka wazi nia na mpango wake wa kurejea Barcelona akisema ;
“Natamani sana kurudi Barcelona , Mke wangu na hata watoto wangu wananiuliza sana kuhusu kurudi Barcelona ukweli ni kwamba tuna nyumba yetu na kila kitu chetu kipo huko”
Kauli hii imekuja siku chache baada ya kutembelea uwanja wa Klabu yake ya zamani (Barcelona) na kuchapisha mtandaoni kuwa ipo siku atarudi tena Klabuni hapo
Chanzo; Clouds Media