Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Kisa Afcon Kocha wa Misri Awaijia Juu CAF

Kocha wa timu ya taifa ya Misri, Hossam Hassan, ameibua mjadala mzito barani Afrika baada ya kueleza kuwa uamuzi wa kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kila baada ya miaka minne hauchangii kikamilifu maendeleo ya soka la Afrika.

Kwa mujibu wa Hossam Hassan, utaratibu huo unaonekana kuwanufaisha zaidi Wazungu kuliko kulinda maslahi ya soka la Afrika, jambo ambalo amesema halipaswi kupewa kipaumbele.

Amesisitiza kuwa bara la Afrika linapaswa kufanya maamuzi kwa kuzingatia maendeleo yake yenyewe, badala ya kuangalia au kuiga mifumo ya soka ya Ulaya pekee.

Ikumbukwe kuwa hivi karibuni Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha utaratibu mpya wa michuano ya AFCON kufanyika kila baada ya miaka minne kuanzia mwaka 2028.

 

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: