Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatakia kila la heri wachezaji na mashabiki wa timu za Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa Fainali ya Ngao ya Jamii utakaochezwa leo tarehe 16 Septemba, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
“Niko nawaangalieni, nachowaomba ni mchezo mzuri, atakayeshinda tutampongeza.” - Rais Samia
Chanzo; Tanzania Journal