Winga wa Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya Ballon d'Or 2025 baada ya kumbwaga chipukizi wa Barcelona, Lamine Yamaha.
Dembélé (28) aling'ara msimu uliopita akiisaidia PSG kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa kihistoria wa mabao 5-0 dhidi ya Inter Milan, pamoja na kutwaa ubingwa wa Ligue 1. Katika msimu wa 2024/25 Ndebele alicheza mechi 53 na kufunga mabao 35 na asisti 16.
Chanzo; Tanzania Journal