Mshambuliaji yeyote aliyetaka kumfunga Edwin Van der Sar mwaka ule alihitaji zaidi ya uvumilivu.
Kipa huyu wa zamani wa Man United bado anashikilia rekodi ya muda mrefu zaidi bila kuruhusu goli katika mchezo wa EPL dakika 1,311.
Kwa mahesabu hapo ni sawa na mechi 14 na nusu bila nyavu zake kutikiswa.
Van der Sar alifanya hivo kipindi Cha Desemba 2008 hadi Machi 2009 rekodi ambayo hadi leo hakuna aliyewahi kuivunja.
Chanzo; Gobal Publishers