Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Simba Yalazisha Sare Ugenini

Kwa mara nyingine Simba imeshindwa kupata ushindi katika mechi ya hatua ya makundi baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji, Atletico Petroleois ya Angola.

‎Katika mechi hiyo iliyochezwa mjini Luanda, Simba ilienda mapumziko ikiwa nyuma kwa bao 1-0.

‎Pedro Pinto aliwatanguliza wenyeji kwa kufunga bao dakika ya 13, goli lililoanza kuzamisha ndoto za Simba kupata ushindi katika mchezo huo wa raundi ya tano.

‎Kiungo mshambuliaji mpya wa Wekundu watakuwa Msimbazi, Anicet Oura, aliisawazishia timu yake dakika ya 81.

‎Matokeo hayo yanaifanya Simba kuvuna alama ya pili katika hatua ya makundi ikibakisha mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba nyumbani dhidi ya Stade de Malien ya Mali.

 

 

Chanzo; Nipashe

Kuhusiana na mada hii: