Timu ya vijana wa umri chini ya miaka 15 toka Tanzania inatarajiwa kushiriki mashindano ya mashua yanayotarajiwa kufanyika nchini na kuzikutanisha timu mbalimbali toka barani Afrika. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo, Aaliyah (14) ameelezea namna familia yake hasa Babu walivyokuwa chachu ya yeye kuingia kwenye mchezo wa Mashua.
Aaliyah amesema amejiandaa vizuri kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye mashindano ya Mashua mwaka huu.
Habari hii imechapishwa toka ukurasa wa Clouds FM mtandao wa Instagram. Bofya hapa kutembelea stori hii.