Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kukutana na wachezaji wa timu ya Taifa Stars Januari 10, 2026, Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, katika hafla ya chakula cha mchana kwa lengo la kuwapongeza kwa kazi kubwa walioifanya kwenye mashindano ya AFCON.
Aidha, Rais Samia atakutana pia na wanamichezo wengine walioiletea heshima Tanzania katika mashindano ya kimataifa.
Chanzo; Nipashe