Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Wafuasi wa CDM Wapiga Maombi Kabla ya Kesi ya Lissu Kuanza

Wafuasi wa CHADEMA wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.

Wafuasi hao pia wamefanya maombi ndani ya chumba cha mahakama kabla ya kuanza kwa kesi hiyo ambayo inatarajiwa kutolewa uamuzi mbele ya Jopo la Majaji watatu akiwemo Jaji Dunstan Ndunguru.

Uamuzi huo unatokana na mapingamizi ya Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho ya kumpinga shahidi wa Nne ambaye ni wa siri kutoka upande wa Jamhuri.

 

 

Chanzo; Millard Ayo

Kuhusiana na mada hii: