Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina leo Jumamosi ya Septemba 13, 2025 amefika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) zilizopo Posta, jijini Dar es Salaam Kwa ajili ya kurudisha fomu yake ya kugombea Urais.
Mpina sasa ni Rasmi ameteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho huku mgombea mwenza wake akiwa ni Bi. Fatma Ferej
Chanzo: EATV