Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Urejeshaji Mwili wa Zungu Zambia wa Kataliwa South

Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa iliyowasilishwa Jumanne na familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, iliyokuwa ikitaka kusitisha urejeshaji wa mwili wake nchini Zambia kwa mazishi.

Familia hiyo ilifikisha suala hilo katika Mahakama ya Pretoria kupinga uamuzi wa awali ulioruhusu serikali ya Zambia kurejesha mwili wa Lungu nchini humo kwa mazishi ya kitaifa.

Familia ilikuwa na matumaini ya kupeleka suala hilo katika Mahakama ya Rufaa ya Juu (SCA), lakini ombi lao lilikataliwa na mahakama hiyo, sambamba na amri ya kulipa gharama za kesi.

Mahakama ilisema kuwa hakukuwa na uwezekano wa mafanikio kwa rufaa hiyo.

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: