Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Dkt Bashiru Amnadi Rais Samia

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally Kakurwa leo katika Mkutano wa Mgombea Uraid wa Tanzania Dkt. Samia Kondoa amemuombea kura Mgombea Urais CCM

“Niko hapa kuwaomba kura za Chama cha Mapinduzi kwanza kama Mwenyeji mkazi wa Dodoma pili tumepewa kazi na Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya kuratibu Shughuli za Kampeni, Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe” Bashiru

“Nguvu ya CCM na uwezo wake inatokana na Umoja ndani ya Chama na Umoja wa Kitaifa nashukuru Mwenyekiti umechukua kazi hii ukiwa Kiongozi na sasa umetokea tena kuisimamia kazi hiyo, umeisimamia vizuri kazi ya kuunganisha Chama na kazi ya kuunganisha Taifa” Bashiru

“Nchi yetu inaendelea kufanya vizuri katika maeneo mengi tuko hapa kuwanadi Wagombea wetu kwa ubora wao, tuko kuinadi Ilani ya CCM kwa ubora wake, tunadi utendaji wa miaka mitano iliyopita tunaomba muendelee kukiamini Chama cha Mapinduzi

Stori inapatikana kwenye ukurasa wa Millard Ayo.

Kuhusiana na mada hii: