Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imemteua Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Dk. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma.
Nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, ilikuwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge, Jenista Mhagama kufariki dunia Desemba 11, 2025.
Chanzo; Global Publishers