Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Chadema Wapinga Tume Huru ya Uchaguzi

Chama Kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA wamepinga tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini Tanzania wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.

Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan na kutangazwa Novemba 18, 2025 itaongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Mohamed Othman Chande na itakuwa na wajumbe wengine 7

 

Chanzo; Bbc

Kuhusiana na mada hii: