Samia Suluhu Hassan, Mgombea nafasi ya Urais Kupitia Cha cha Mapinduzi, akiwa na Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais Zanzibar, pamoja na viongozi wengine wakiomba dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Aman Karume, katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar.
Chanzo; Tanzania Journal