Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Miaka 49 ya CCM Tangu Kuasisiwa Kwake

Wakati Chama Cha Mapinduzi, CCM, chama tawala nchini Tanzania, kinaadhimisha miaka 49 tangu kuasisiwa kwake, maadhimisho hayo yanafanyika katika mazingira ya maswali mazito na mjadala mkali wa kisiasa.

Ni chama kinachojivunia miongo ya uongozi, lakini pia kinachokabiliwa na ukosoaji mkubwa kufuatia ghasia za uchaguzi zilizoigharimu nchi maisha ya raia kadhaa.

Je, CCM iko tayari kwa maridhiano ya kitaifa? Mwandishi wetu Yakub Talib amezungumza na Msemaji Mkuu wa CCM, Kenan Kihongosi. Lakini kabla ya hilo, anaangazia mafanikio ambayo chama hicho kinasema kimeyapata katika miaka 49 ya uongozi wake.

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: