Mtoto wa rais wa awamu ya tano, hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli ameibuka miongoni mwa washindi wa kura za maoni kupata wawakilishi 6 wa UVCCM katika bunge. Katika mchuano huo mkali washindi hao wamekuwa: UBUNGE VITI 6 BARA: 1. Ng'wasi Kamani - 409 2. Jesca Magufuli - 391 3. Halima Bulembo - 320 4. Lulu Mwacha - 316 5. Juliana Masaburi - 282 6. Timida Fyandomo - 280 7. Jasmine Chesco - 139 8. Rehema Sombi - 75 UBUNGE VITI 4 ZANZIBAR: 1. Mwanaenzi Hassan Suluhu - 399 2. Latifah Khamis Juakali - 357 3. Zainab Abdalla Issa - 334 4. Amina Ali Mzee - 151 UWAKILISHI VITI 2 ZANZIBAR: 1. Salha Mwinjuma 2. Hudhaima Tahir
Jesca Magufuli Ashinda Viti Maalum
