Mtaalam wa kidigitali na msimamizi wa kazi za wasanii katika mitandao ya muziki, Michael Mlingwa (Mx Carter) amewataka msanii Billnas na MC maarufu Gara B kumlipa fidia ikiwa ni baada ya chapisho alilotoa Bill Nass akimtuhumu kwa kudhulumu haki yake kwa kutopata chochote katika ngoma yake ya Puuh.
What’s Poppin imepiga stori na mwanasheria wa Mx Carter ambaye amefunguka kwa undani.