Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua rasmi wiki ya maadhimisho ya miaka 33 hii leo Januari 15, 2026 tangu kilipopata rasmi usajili wa kudumu na kutambulika rasmi kama Chama cha Siasa hapa nchini.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amesema “Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinazindua rasmi wiki ya maadhimisho ya miaka 33 tangu tulipopata rasmi usajili wa kudumu na kutambulika rasmi kama Chama cha siasa hapa nchini”
“Tarehe 21 Januari 1993 Chama kilipata na kupokea rasmi cheti cha kutambuliwa rasmi kama Chama cha siasa nchini”
Chanzo; Millard Ayo