Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti alipotembelea kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa katika Kata ya Lupaso, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara akiwa kwenye ziara ya kampeni za Uchaguzi Mkuu Leo September 24, 2025.
Chanzo: Millard Ayo