Takwimu mpya zinaonyesha kuwa YouTube inawafikia watu wazima wa Marekani kwa idadi kubwa kuliko platfom nyingine yoyote, huku Facebook ikishika nafasi ya pili na Instagram ikiwa programu nyingine pekee inayotumiwa na angalau nusu ya wananchi.
Baada ya hapo, matumizi yanashuka kwa kasi, na majukwaa mapya hayana ushawishi mkubwa. Sana Marekani.
Chanzo; Bongo 5