Kumekuwa na matukio ya account za Whatsapp kudukuliwa bila mmiliki kufahamu na kuishia kuwa mhanga wa mazungumzo binafsi kusomwa na wakati mwingine mdukuzi kutuma ujumbe wa watu walio kwenye contacts.
Hapa Vedasto Makota anakuelekeza hatua za kufanya ili kuhakikisha usalama wa account yako ya whatsapp.