Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Waziri AI “Akili Unde” Atambulishwa Kwa Wabunge Albania

Waziri Mkuu Edi Rama alimtangaza Diella kama sehemu ya baraza lake jipya la mawaziri siku chache zilizopita, akimkabidhi jukumu la kusimamia ununuzi wa umma na kupambana na ufisadi wa muda mrefu. Alisema jukumu lake litakuwa kuhakikisha Albania inakuwa “nchi ambayo zabuni za umma ni huru kwa asilimia 100 bila kuingiliwa na mafisadi.”

Katiba ya Albania inasisitiza kuwa mawaziri lazima wawe raia wenye akili timamu na walio na umri wa angalau miaka 18.

Chama cha upinzani cha Democratic Party kimeita hatua hiyo “ya kipuuzi” na “kinyume cha katiba.”

 

Chanzo: Bbc Swahili

Kuhusiana na mada hii: