Muundo mpya wa Akili Mnemba nchini Marekani, unaoitwa SleepFM, umebaini kuwa mfumo wa usingizi wa binadamu unaweza kutumika kutabiri hatari ya mtu kupata takriban magonjwa 130, ikiwemo ugonjwa wa akili (dementia) na aina fulani za saratani. Uzuri kujua hatma yako ya baadae ya maisha.
Chanzo; Dw