Kupitia Instagram channel ya META mmiliki wa mtandao huo, Mark Zuckerberg ametoa shukrani kwa watumiaji wa mtandao wa Instagram kwa mafanikio makubwa ya ongezeko la watumiaji wake kwa mwezi.
• Watumiaji bilioni 3 kwa mwezi
• Mtandao namba 3 duniani, nyuma ya Facebook na YouTube pekee
• Thamani zaidi ya dola Bilioni 500 (sawa na trilioni 1,238 za Kitanzania)
Instagram si tena mtandao wa picha pekee, ni himaya ya kijamii na kiuchumi.
Chanzo: Eatv