Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Elon Musk Apingana na Waliosema Pesa Hainunui Furaha

Elon Musk Kupitia ukurasa wake wa X aliandika ujumbe 'Whoever said money cant buy happiness really knew what they are meaning'akiwa na maana ya 'Aliye sema kuwa pesa haiwezi kununua furaha kweli alijua alimaanisha nini'

Elon Musk ndiyo tajiri nambari moja duniani kwa takwimu za hivi majuzi za uteuzi wa matajiri duniani akiwa na utajiri wa takriban dola bilioni 800+ (USD > 800 billion) kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa kwa mtu yeyote duniani.

Elon Musk huandika maneno kama haya kueleza mtazamo wake kuhusu pesa na furaha na akijaribu kuonyesha kuwa pesa inaweza kutoa uhuru na nafasi ya kufanya mambo unayoyapenda lakini si lazima iwe chanzo pekee cha furaha.

 

 

Chanzo; Bongo 5

Kuhusiana na mada hii: